MY CHOCO DRINK

Alkaline Chocolate Drink

Alkaline Chocolate Drink

Kuhusu MYCHOCO 
MyChoco ni chocolate pekee inayozalishwa na yenye maana halisi ya Choclate huku ikiwa imewekewa virutubisho vingi zaidi vyenye manufaa kwa Afya ya mwili.
MyChocoinaweza kuongezewa Maji ya moto au maji baridi na kubaki na radha yake ileile ya Chokleti huku ikiukinga mwili wako na mashambulizi ya magonjwa. My Choco ikichanganywa na maji baridi inaleta radha ya kusisimua itakayokufanya ufurahie kinywaji hicho huku ukipata tiba.  . My Choco pia ikichangwa na maji moto inazalisha tabaka zuri la chokleti na maziwa linaloelea  juu ya maji moto hivyo kumfanya mtumiaji kufurahia sana kinywaji chake.
My Choco imesagwa katika unga laini zaidi kumsaidia  mtumiaji kuutumia kwa urahisi zaidi hata kwa kuramba. My Choco imetengenezwa na unga laini wa Cocoa  na kuongezewa virutubisho. Kwa Kifupi ukitumia My Choco hauwezi kuacha kutamani Kutumia. 
Wazoefu wa kutumia My Choco wanakuambia, Ukianza kutumia My Choco hauwezi kuacha kamwe. 
My Choco imetengenezwa na: Unga wa Cocoa wenye ubora, Maziwa, Sukari, Alive! Mega- Nutritionals na Ungaunga wa DHA.
FDA FR No. 7508 5
Manufaa ya My Choco Kiafya:
• Inapunguza wingi wa Mafuta hatari mwilini(Lowers Cholesterol) 
• Inaulinda mwili dhidi ya Magonjwa
• Inasaidia kuzuia Kansa ya Kila namna
• Inadhibiti Shinikizo la damu
• Inazuia na kupambana na Kisukari
• Inasaidia kupambana na Ugonjwa wa Kusahau
• Inaboresha na kuimarisha mfumo wa Kinga ya Mwili
• Inaondosha Sumu Mwilini
• Inapunguza athari ya matumzi ya Pombe kali na Sigara
• Inaongeza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa
• Inaboresha Kinga ya Ngozi
• IInasaidia kutokuchoka mapema wakati wa mazoezi
• Inasaidia ubongo kuongeza umakini
• Inapunguza msongo wa mawazo na hasira 
• Inasaidia kupunguza uzito
•Inaongeza uwezo wa uzalishaji wa nguvu za Kiume
• Inasaidia kupunguza maumivu ya Kichwa
• Inasaidia uzalishaji wa seli za mwili

No comments