BURN LIVEN COFFEE
BURN Liven Coffee
1. BURN Liven Coffee
Ina kiwango Kidogo cha calorie, Imetengenezwa kwa Unga uliosagwa toka katika Kahawa ya Arabica na kuongezewa vurutubisho vya Complete Phyto Energizer, Satiereal, Carnipure, Green Tea Extract, EFLA 942, Garcinia Cambogia & Anhydrous Caffeine.Virutubisho hivi vinasaidia katika Kuongeza metabolism ya mwili, Kuongeza nguvu ya mwili na Kupunguza uzito.
4. BURN – Slim
Bidhaa hii inahusisha virutubisho mbalimbali ambavyo pia husaidia kuimarisha Afya ya mwili kwa kutumia mahitaji makuu matatu kwa kuzingatia malighafi asilia zilizopo katika mazingira ya kila siku. Pamoja na hayo BURN Slim inaukinga mwili na sumu mbali mbali na kuongeza Kinga ya mwili dhidi ya Sumu na Kuongeza nishati ya mwili
imetengenezwa na:
* Mchanganyiko wa Juice mbalimbali za matunda
* Mchanganyiko wa mboga mboga zilizo sagwa
* Amino Acids
* Majani ya lishe yaliyosagwa kama Alfaalfa
* Uyoga
* Vimengenya chakula "Digestive Enzymes"
* Mitishamba & Virutubisho maalumu
* Fatty Acids
Post a Comment