LIVEN COFFEE SUGAR FREE

Liven Coffee - Sugar Free

Liven Coffee - Sugar Free

Kuhusu Liven Coffee - Sugar Free
Hii ndo kahawa namba moja Duniani kwa ubora. Alkaline Coffee-Sugar Free ina manufaa makubwa kwa afya yatokanayo na mjumuiko wa zaidi  virutubisho 16,000 vinavyotokana na aina 131 za malighafi asilia. 
Liven Alkaline Coffee inatambulika kama kahawa ya hali ya juu na yenye viwango vya kimataifa kutokana na kutengenezwa na Kahawa aina ya Arabica na kuongezewa virutubisho vya COMPLETE PHYTO- ENERGIZER!
Kahawa ya  Arabica ni aina ya Kahawa inayozalishwa nchini Ethiopia.Kahawa hii pia inatambulika kama “coffee shrub of Arabia” , “mountain coffee” or Arabica coffee kwa kiingereza.Kahawa ya Arabica inatambulika kuwa ni Kahawa yenye ubora ukilinganisha na Kahawa aina ya canephora (Robusta). Kahawa ya Arabica ina kiwango kidogo mno cha Caffeine ukilinganisha na Robusta. Pia kahawa hii ina radha nzuri mno kuliko kahawa yoyote duniani . Kahawa ya Arabica inatumika katika shughuri mbalimbali za Kitabibu kutokana na upekee wake, ubora wake na radha yake. 
Kama tulivyoona katika uchambuzi uliopita Complete Phyto-Energizerni kirutubisho chenye zaidi ya virutubisho 16,000 vyenye uwezo wa kupambana na hali ya uzee utokanao na kuzeeka kwa tishu za mwili. 
Imesajiriwa kwa FDA FR No. 75086
Faida zake:
• Inapunguza cholesterol mwilini
• Inamlinda mtumiaji na matatizo ya moyo na kupunguza matatizo ya moyo
• Inasaidia kuzuia na kutibu kansa za aina zote
• Inasaidia kutibu na kukabili presha ya kupanda
• Inazuia magonjwa nyemerezi
• Inasaidia kupambana na Kisukari
• Inazuia ugonjwa wa Kusahau
• Inasaidia kukuza na kulinda mfumo wa kinga ya mwili.
• Inaondoa sumu mwilini
• Inaondoa na kupunguza madhala ya ulevi na uvutaji sigara uliopitiliza
• Inaongeza hamu na nguvu ya Kufanya mapenzi
• Inang'arisha Ngozi
• Inaongeza uwezo wa mwili katika kufanya shughuri ngumu
• Inasaidia Kuongeza Umakini
• Inasaidia mwili kutokua na uchovu
• Inasaidia kupunguza uzito
•Inaongeza uzalishaji wa mbegu za Kiume
• Inasaidia kupunguza maumivu ya Kichwa
•Inasaidia katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu na uzalishaji wa seli mwilini

No comments