FAIDA KUBWA ZINAZOPATIKANA NDANI YA KAMPUNI YA AIM GLOBAL


BAADHI YA FAIDA UNAZOPATA KWA KUINGIA KATIKA KAMPUNI YA AIM GLOBAL
1= MALIPO YA KILA SIKU
pale Unapokua Umejiunga Na Kampuni ya (AIM GLOBAL) Utalipwa malipo ya siku! Bila kuuza au kununua kitu chochote

2=MTU YEYOTE ANAWEZA KUJIUNGA NA HII KAMPUNI (aliyesoma,ambaye hajasoma na)
Kwa sababu Mfumo uliopo Ndani ya hii kampuni Haumzuii mtu ambaye hajasoma kutoweza kuingiza kipato Bali Unamruhusu mtu wa Aina Yeyote kunufaika na Kuingiza kipato Bila kigezo chochote


3) USAJILI NI WA KUDUMU
Hii ni sehemu Nzuri na Ya kufurahisha Kwa Mfano!!
ikiwa umeajiriwa SERIKALINI au makampuni mengine PINDI unapostaafu kazi huwezi kumchukua Mtoto wako na kumweka kwenye ile Nafasi uliyokua nayo Ofisini

Lakini ukiwa Ndani ya AIM GLOBAL pindi utakapoitwa na MUNGU au kuumwa ILE NAFASI yako itachukuliwa na Mtoto wako au Familia yako!
na itaendelea kunufaika na pesa zitazidi kuingia Bila wenyewe kufanya kazi yoyote Na pia watarithi mpaka cheo ulichokua nacho ndani ya kampuni hii kubwa ya AIM GLOBAL
Lakini pia Huu si Mda wa Kumrithisha Mtoto DUKA au Shamba la MITI na ukategemea Litakuja kumtoa!  HAPANA

Wenda hilo duka na shamba vikaungua Moto Na Ndoto za watoto wako zinakua zimeishia njiani Lakini Pia kuna kudhurumiwa LAKINI ukiwarithisha watoto Account zako za AIM GLOBAL hakuna mtu Anaweza kuwaingilia Mapato yao
HIVYO HUWA TUNASEMA PALE UNAPOKUA UMEJIUNGA AIM GLOBAL unakua umejenga maisha yako Na Ya kizazi chako Daima



PIA KWA ULIYE KWENYE AJIRA
Huu ni Mda wa Kua Na vyanzo vya Mapato zaidi ya kimoja
KWA SABABU!!
==Unaweza ukaumwa Gafla ukiwa kwenye Ajira so kama uliumwa Gafla Si Ndio Maisha yako Yanaenda kuyumba na utaanza kujiingiza kwenye Mikopo NK

LAKINI pia Jambo lolote linaweza kutokea kazini Likapelekea uachishwe kazi kwa Mda Je Kama Ulikua Unategemea KAZI, Utaendesha Vipi Family yako (Lakini) pindi ukiwa na AIM GLOBAL hutaweza kutegemea Mshahara kwa sababu AIM GLOBAL inakua ni nyenzo kubwa ya Mapato yako huku malipo Yakiwa ni ya siku hivyo huwez kufikiria hata kuchelewa kwa Mshahara wako wa KAZI

LAKINI PIA KWA WANACHUO
hii ni sehemu Pekee ya kuwekeza Maisha Pindi Unapomaliza chuo Kuna Kazi kubwa ya kutafuta Ajira.. Lakini kama umeshaanza kuingiza Pesa Yako Mapema, Ule Mda Wengine Wanatafuta KAZI KWAKO utakua mda wa kufungua Miradi mbalimbali kwa sababu unakua na Mtaji Mkubwa

hivyo HUU NI MDA WA KUJIUNGA NA AIM GLOBAL KITOVU CHA MAFANIKIO TANZANIA
UKIJIUNGA WEWE FAIMILIA IMEJIUNGA

Text/call 0625658756 | 0753893007


UBARIKIWE!!!!!

1 comment

Kelvin laurant said...

Your dreams will be succeed in AIM Global